uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,278
- 956
Ningependa kupata mfadhili wa kwenda kusoma, course ya animal health hapo tengeru , mpwapwa, morogoro kwani kwa sasa najishughulisha na miradi midogo midogo ya mifugo isiyoweza kukidhi kulipia gharama hizo , na kwa bank riba ni kubwa mno nisingeweza na sitaweza. mfadhili huyo kama atapatikana ningependa nifunge naye mkataba kwa maana kila mwezi nitaweza kumpa kiasi cha fedha kutokana na mradi unaoendelea ninapokuwa chuo.muda chuo ni miaka 2 na muda wa kumaliza deni ni takribani miaka 4 (miezi 48). ajira ya course hii ni wazi na ipo na sasa nina certificate in general agriculture. mwenye namna ani PM au anisaidie
nawakilisha wakuu
nawakilisha wakuu