LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,209 Apr 11, 2018 #1 nilikuwa naomba msaada wa kupatiwa soft copy ya sheria ya makosa ya mtandao kwa lugha ya kiswahili.. au kama kuna mtaalam wa sheria anaweza nifafanulia sheria inasemaje juu ya kosa ,kesi hii UCHOCHEZI KWA NJIA YA MTANDAO
nilikuwa naomba msaada wa kupatiwa soft copy ya sheria ya makosa ya mtandao kwa lugha ya kiswahili.. au kama kuna mtaalam wa sheria anaweza nifafanulia sheria inasemaje juu ya kosa ,kesi hii UCHOCHEZI KWA NJIA YA MTANDAO