Msaada: Dada yangu anaangamia kwa ugonjwa Saratani ya Ini, damu na titi

Pole sana Mkuu...

Muendelee kumuomba Mwenyezi Mungu ili mapenzi yake, sio yenu, yatimizwe.

Ninawaombea kwa Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki cha mpito.
 
Saratani ya ini ni moja ya saratani mbaya sana. Kama imefikia hatua ya mwisho kama ulivyosema ni suala la kumuachia Mungu tu. Hayo mengine yatazidi kuwapa mawazo coz mtapoteza muda na pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana..

Kuuguza kuna maumivu mno...na hasa kwa maradhi hayo...
Muwe ni subra..muombe MMungu alete rehma zake..
Kuukubali ukweli!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tangu ulipoleta uzi wako kuna hatua ushachukua, au mgonjwa ameng'ang'aniwa hospitali?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…