Msaada: Daktari/hospitali nzuri ya watoto

T-Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,243
Reaction score
2,378
Habari wana JF

Kwa yeyote anayejua daktari mzuri au hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wachanga iliyopo Dar, naomba anisaidie jina la hospitali au contacts za Daktari.

Ahsanteni.
 
Aisee..
Watu wa Daslamu bwana.
Haya wanakuja wenzako.
 
Nenda Massana mbezi beach kuna daktari anaitwa Hurbert .
 
Habari wana JF

Kwa yeyote anayejua daktari mzuri au hospitali nzuri kwa ajili ya watoto wachanga iliyopo Dar, naomba anisaidie jina la hospitali au contacts za Daktari.

Ahsanteni.
Mkuu mimi nakushauri nenda hospital yoyote maana naamini wanatoa huduma bora,

Najua kuna watu wanapona kwasababu ya psychology yao na wanachokiamini ..

Zipo hospital nyingi na zinatoa huduma nzuri

Kitu cha msingi hakikisha unatoa Clinical features ambazo wewe unaziona au anazo present nazo mtoto wako tena kwa usahihi...

Maana clinical features ndizo zinazo determine mtu anaumwa Kitu gan na atapata matibabu gani...

Pole mkuu kwa kuuguza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…