Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu,
Naomba mnisaidie kupata kunielekeza wapi naweza kupata Daktari wa masikio. Mimi niko Dar. Kwa yeyote atakae weza nisaidia naomba ani PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mungu awabariki.
Naomba mawasiliano yake mkuu km bado yupoMkuu, nimesumbuliwa sana na tatizo la masikio zaidi ya miaka kumi. Nimekuja kumpata Daktari mmoja ambaye amekomesha shida yangu. Anaitwa dr. Ekenywa, Anapatikana Ekenywa Dispensary magomeni. Ni specialist ambaye amefanya kazi Muhimbili miaka mingi lakin kwa sasa ni mstaafu. Nina number yake ya simu, kama utahitaji kwa mawasiliano zaidi.