Maeneo ya nkuhungu (karibu na four ways) vipi mkuu!Ndugu zangu nakuja dodoma kwa kipindi cha miezi 3. Nahitaji chumba angalau nipunguze gharama za maisha.
Budget yangu ni laki moja (100k) kwa mwez.
Sifa za chumba nachohitaji
- Choo cha ndani.
- Fensi au Nyumba yenye usalama.
- Mwonekano muzuri wa chumba na kiwe kikubwa.
- Area C itapendeza zaidi, japo na maeneo mengine si mbaya kama nitaridhia.
Ni PM namba zako nitakutafuta mimi mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipoje mkuu kimazingira na inaendaje kwa gharama yake?
Nichek 0767833496/0622111186Ndugu zangu bado sijapata Chumba, Naruhusu hata mwenye nyumba nzima ya budget ya laki3 (300k). Tutafutane nikiridhia nitachukua
Sent using Jamii Forums mobile app