miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Feb 25, 2015 #1 Habari zenu wakuu. Naomba kama kuna mtu anajua namna ya kupata uzalishaji wa mwaka 2013/2014 na 2014/2015 wa zao la UFUTA , KARANGA NA CHOROKO. AU kama unahizo data. Asanteni kazi njema.
Habari zenu wakuu. Naomba kama kuna mtu anajua namna ya kupata uzalishaji wa mwaka 2013/2014 na 2014/2015 wa zao la UFUTA , KARANGA NA CHOROKO. AU kama unahizo data. Asanteni kazi njema.
K kiera Member Joined Jan 19, 2015 Posts 29 Reaction score 5 Mar 5, 2015 #2 Mimi poa nahitaji sana hizi data kwakwel