Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Maana yake ni uthibitisho wa tarehe ya kuzaliwa mkuuWakuu Habari zenu
Naomba kuuliza hichi kitu mara moja, nimekutana nacho sehemu na nimeshindwa kuelewa ni kitu gani.
Kulikuepo na sehemu ya Date of Birth hiyo nimejaza, ichi kipengele cha Date of Birth Confirmation nimekwama, nime-google nimeshindwa.
Naomba masaada, wakuu
Kulikuwa na option ya ku upload doc..?Wakuu Habari zenu
Naomba kuuliza hichi kitu mara moja, nimekutana nacho sehemu na nimeshindwa kuelewa ni kitu gani.
Kulikuepo na sehemu ya Date of Birth hiyo nimejaza, ichi kipengele cha Date of Birth Confirmation nimekwama, nime-google nimeshindwa.
Naomba masaada, wakuu
Rudia kuandika tarehe ya kuzaliwa uliyo kwisha andika ...just confermWakuu Habari zenu
Naomba kuuliza hichi kitu mara moja, nimekutana nacho sehemu na nimeshindwa kuelewa ni kitu gani.
Kulikuepo na sehemu ya Date of Birth hiyo nimejaza, ichi kipengele cha Date of Birth Confirmation nimekwama, nime-google nimeshindwa.
Naomba masaada, wakuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mh aisee tuna safari ndefu mbele
Ukute ndiyo mhandisi mtarajiwa
NB: comment haihusiani na mada tajwa hapo juu