Baraka zablon
Member
- Apr 1, 2018
- 31
- 18
Wadau kama kuna mtu anajua dawa ambayo inasaidia kuotesha mindevu ikajaa..maana kuna rafiki yangu anataman sana kuwa na ndevu nyingi...vindevu vyake vya kidevuni vimechomoza viwili tu...anatamani sana kuwa na mindevu kama mm na mitimba...kwa m2 yeyote anayejua dawa ya kuotesha atujuze hapa jamaa aote ndevu..