Msaada: Dawa gani ni ya kuponyesha haraka vidonda vya mdomoni, kwenye ulimi?

Msaada: Dawa gani ni ya kuponyesha haraka vidonda vya mdomoni, kwenye ulimi?

fasi dwasi

R I P
Joined
Sep 23, 2018
Posts
105
Reaction score
108
Nipo naumwa jamani sasa katika swala la lishe naona napata changamoto sana vidonda vinanipa shida sana ndani ya mdomo na ulimi. Nimejaribu kutumia vitamin B complex lakini naona dozi inaishia haviponi

Anayejua dawa nzuri ya hiki kitu msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah ndugu wewe inaonekana una tatizo kubwa sana ila approach unayoitumia kuomba msaada sio sahihi.. kule umefungua uzi kuhusu tiba ya TB then ukapost picha ya vifaa unavyotumia kujisaidia na kupumua. hapa umekuja tena na tatizo hili!!..bro nakushauri uache kila kitu ushughulikie afya yako kweli unaumwa..sasa nimepata picha you serious sick.

pole sana ndugu wahi hospitali haraka
 
Daah ndugu wewe inaonekana una tatizo kubwa sana ila approach unayoitumia kuomba msaada sio sahihi.. kule umefungua uzi kuhusu tiba ya TB then ukapost picha ya vifaa unavyotumia kujisaidia na kupumua.. hapa umekuja tena na tatizo hili!!..bro nakushauri uache kila kitu ushughulikie afya yako kweli unaumwa..sasa nimepata picha you serious sick.. pole sana ndugu wahi hospitali haraka
Hii siyo la leo Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is no more! Amerudi kwa Baba. Pumzika kwa Amani
Daah ndugu wewe inaonekana una tatizo kubwa sana ila approach unayoitumia kuomba msaada sio sahihi.. kule umefungua uzi kuhusu tiba ya TB then ukapost picha ya vifaa unavyotumia kujisaidia na kupumua.. hapa umekuja tena na tatizo hili!!..bro nakushauri uache kila kitu ushughulikie afya yako kweli unaumwa..sasa nimepata picha you serious sick.. pole sana ndugu wahi hospitali haraka

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Pengine ungesikiliza ushauri wake, dah tumekupoteza kwa masiala hivi hivi tu

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app

Kweli hakusikiliza nilichomshauri ila inaonekana hakuwa kwenye hali nzuri kbs .. inaonekana marehemu hakuwa na uwezo wa kumudu matibabu na hakutaka kuomba kwa kuhofia kebehi zetu humu.. apumzike tu kwa amani
 
Pole Sana unaonaje ukafika kituoni kwetu tupo Dar mnazi mmoja,suluhisho la changamoto hiyo lipo,ila Ni vema ufanyiwe check up,tubain chanzo chake ndipo uanze TIBA ndugu,kwa Sasa tuna ofa ya vipimo vya mwili mzima kwa TSH 15,000. Karibu uhudumiwe call 0718069047 utapokelewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshafariki huyo kaka.
 
Kweli hakusikiliza nilichomshauri ila inaonekana hakuwa kwenye hali nzuri kbs .. inaonekana marehemu hakuwa na uwezo wa kumudu matibabu na hakutaka kuomba kwa kuhofia kebehi zetu humu.. apumzike tu kwa amani
Ukimfatilia uyu alikuwa HIV positive nimefatilia post zake.R.I.P
 
Back
Top Bottom