fasi dwasi
R I P
- Sep 23, 2018
- 105
- 108
tumia nistatyn
Hii siyo la leo MkuuDaah ndugu wewe inaonekana una tatizo kubwa sana ila approach unayoitumia kuomba msaada sio sahihi.. kule umefungua uzi kuhusu tiba ya TB then ukapost picha ya vifaa unavyotumia kujisaidia na kupumua.. hapa umekuja tena na tatizo hili!!..bro nakushauri uache kila kitu ushughulikie afya yako kweli unaumwa..sasa nimepata picha you serious sick.. pole sana ndugu wahi hospitali haraka
Daah ndugu wewe inaonekana una tatizo kubwa sana ila approach unayoitumia kuomba msaada sio sahihi.. kule umefungua uzi kuhusu tiba ya TB then ukapost picha ya vifaa unavyotumia kujisaidia na kupumua.. hapa umekuja tena na tatizo hili!!..bro nakushauri uache kila kitu ushughulikie afya yako kweli unaumwa..sasa nimepata picha you serious sick.. pole sana ndugu wahi hospitali haraka
Doooh! [emoji22] RIP fasi dwasiTanzia: Mwana JamiiForums Fasi Dwasi ameaga dunia
Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea!www.jamiiforums.com
Mkuu next time 'be impeccable with your word'.
He is no more! Amerudi kwa Baba. Pumzika kwa Amani
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Pengine ungesikiliza ushauri wake, dah tumekupoteza kwa masiala hivi hivi tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ameshafariki huyo kaka.Pole Sana unaonaje ukafika kituoni kwetu tupo Dar mnazi mmoja,suluhisho la changamoto hiyo lipo,ila Ni vema ufanyiwe check up,tubain chanzo chake ndipo uanze TIBA ndugu,kwa Sasa tuna ofa ya vipimo vya mwili mzima kwa TSH 15,000. Karibu uhudumiwe call 0718069047 utapokelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimfatilia uyu alikuwa HIV positive nimefatilia post zake.R.I.PKweli hakusikiliza nilichomshauri ila inaonekana hakuwa kwenye hali nzuri kbs .. inaonekana marehemu hakuwa na uwezo wa kumudu matibabu na hakutaka kuomba kwa kuhofia kebehi zetu humu.. apumzike tu kwa amani