Msaada: Dawa kiboko kwa ajili ya wadudu weupe kwenye yebo yebo

Msaada: Dawa kiboko kwa ajili ya wadudu weupe kwenye yebo yebo

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
144
Reaction score
164
Habari za leo wakuu, kichwa cha habari kinajieleza...nina ile fensi ya yebo yebo sasa kuna wale wadudu weupe(white flies) wamekuwa kero sana..

Nimetumia duduba na inaua sema ni kama imewazoea na kipindi hiki cha mvua wanazaliana sana
Naomba msaada dawa kali ambayo itawamaliza hawa wadudu maana dawa nyingi sana haziwauwi.

Natanguliza shukran zangu
 
Weka Picha ya hiyo fensi ya Yeboyebo tuione
 
Nilifikiri mtumba wa yeboyebo nikashangaa
Sasa hiyo fence Ina yebo ama
 
Back
Top Bottom