Yanabadilika
Member
- Feb 25, 2014
- 34
- 15
Dawa ya Maradhi ya kifuwa fanya hivi chukua Majani ya mpera yakoshe na uchemshe na maji na uwe unakunywa kutwa mara 3 nusu glasi kwa muda wa siku 3 .kisha njoo hapa unipe Feedback.nahema kwa kuunguruma uku kifua kinauma anae jua dawa jamani
dawa ya maradhi ya kifuwa fanya hivi chukua majani ya mpera yakoshe na uchemshe na maji na uwe unakunywa kutwa mara 3 nusu glasi kwa muda wa siku 3 .kisha njoo hapa unipe feedback.
Peke yake itafanya kazi hayo Majani ya mpera au Dawa zingine hizi hapakama akichanganya na majani ya mkaratusi itakuwa mutreeb zaid
Mkuu Mrimi huyu kaja hapa kuhitaji dawa ya kifuwa laiti angelihitaji aulizwe sana ingelkuwa ni vizuri lakini katika topic yake kasema anataka dawa za asili ya maradhi ya kifuwa ndio maana tunampa dawa pasipo na kumuuliza maswali mengi asante samahani kama nimekukwaza kaka.Maelezo yako hayatoshi kutoa ushauri wa maana ndugu yangu..labda wataalam wa mitishamba watakusaidia,maana wao hawahitaji maelezo mengi kutoka kwa mgonjwa.
Ila mimi ningehitahi kujua vitu kana: lini tatizo limeanza,kama unakohoa,kama kifua kinabana unashindwa kupumua,kama unajisikia mwili wa moto(homa),kama tatizo lina uhusiano wowote na shughuli unayofanya,kifua kinauma wapi(kwenye mbavu,katikati,kulia au kushoto),kama maumivu yanasambaa(kuelekea wapi,begani,mkononi nk.),nini kinapunguza maumivu nanini kinaongeza maumivu,kama miguu inavimba..na huo muungurumo ukoje,umeanzaje...kuna tiba yoyote umewahi pata(ipi,lini na ilikuwaje)
Of course,vitu kama hivyo.
Mkuu Mrimi huyu kaja hapa kuhitaji dawa ya kifuwa laiti angelihitaji aulizwe sana ingelkuwa ni vizuri lakini katika topic yake kasema anataka dawa za asili ya maradhi ya kifuwa ndio maana tunampa dawa pasipo na kumuuliza maswali mengi asante samahani kama nimekukwaza kaka.
Dawa ya Maradhi ya kifuwa fanya hivi chukua Majani ya mpera yakoshe na uchemshe na maji na uwe unakunywa kutwa mara 3 nusu glasi kwa muda wa siku 3 .kisha njoo hapa unipe Feedback.
Majani mengi ya kutosha chemshankwa maji kipimo cha glasi 6 kisha yaache kama dakika 10 yachemke kisha chukuwa nusu glasi kunywa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 au siku 7 utapona kabisaMkuu hayo majani kiasi gani na yanachemshwa katika maji kiasi gani? Naomba kujuzwa hilo.
Majani mengi ya kutosha chemshankwa maji kipimo cha glasi 6 kisha yaache kama dakika 10 yachemke kisha chukuwa nusu glasi kunywa kutwa mara 3 kwa muda wa siku 3 au siku 7 utapona kabisa