Msaada dawa ya jicho lililovimba

Msaada dawa ya jicho lililovimba

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Nasumbuliwa na jicho la kushoto km siku 2,na leo limevimba.dawa yake ni ipi ipunguze maumivu na uvimbe
 
HAPANA. sema kuna kiuvimbe kwa juu kama kijp flan kwenye kope ya juu
 
ok...litapoa lenyewe..usilichezee...limevimba kwasababu ya hilo jipu!!
 
Uku kwema ndugu, msaada wenu pia jicho lang limevimba linatoa matongotongo limevmba juu na chini
 

  • Kuziba kwa glands za mafuta ya mwili(jicho) ambayo hupatikana ktk eneo la jicho kusaidia ulaini wa eneo la kope/jicho unapopepesa macho pasiwe pakavu na kusababisha ukavu na michubuko.
  • Seli ya ngozi-mfu kubaki ndani ya nozi mpya. Hii kitaalamu inajulikana kama ''milia'' watoto na wakubwa hukumbwa na tatizo hili.
  • Maambukizi ya bakteria aina ya Staphylococcus mara nyingi husababisha uvimbe.
N.B
Pemgtoonet.com
Ushauri nenda duka la dawa (la ukweli) au duka la kupima macho/ miwani upate dawa au nenda kwa daktari hospitali.
 
Back
Top Bottom