Kuziba kwa glands za mafuta ya mwili(jicho) ambayo hupatikana ktk eneo la jicho kusaidia ulaini wa eneo la kope/jicho unapopepesa macho pasiwe pakavu na kusababisha ukavu na michubuko.
Seli ya ngozi-mfu kubaki ndani ya nozi mpya. Hii kitaalamu inajulikana kama ''milia'' watoto na wakubwa hukumbwa na tatizo hili.
Maambukizi ya bakteria aina ya Staphylococcus mara nyingi husababisha uvimbe.
N.B
Pemgtoonet.com
Ushauri nenda duka la dawa (la ukweli) au duka la kupima macho/ miwani upate dawa au nenda kwa daktari hospitali.