fundibenz
Member
- Jul 31, 2015
- 61
- 67
Habari za muda,sasa yapata week na siku kadhaa jicho la kulia linauma kwa mbali na kuwasha huku likitoa uchafu(tongotongo)sana na muda wote..vile vile limevimba hata halifunguki vizuri.
Nimetumia dawa ya matone ile gent....na cipro lakini wapi,nimetumia maji ya moto na chumvi bado.ushauri pls
Napatikana dar,au kama kuna hospital ya wataalam wa macho.
Nb:jicho la upande mmoja tu kulia,lingine liko poa kabisa