Msaada dawa ya jicho

fundibenz

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
61
Reaction score
67
Habari za muda,sasa yapata week na siku kadhaa jicho la kulia linauma kwa mbali na kuwasha huku likitoa uchafu(tongotongo)sana na muda wote..vile vile limevimba hata halifunguki vizuri.
Nimetumia dawa ya matone ile gent....na cipro lakini wapi,nimetumia maji ya moto na chumvi bado.ushauri pls
Napatikana dar,au kama kuna hospital ya wataalam wa macho.
Nb:jicho la upande mmoja tu kulia,lingine liko poa kabisa
 
Ninayo ya kienyeji(asili) inasafisha maisha. Ila malipo kwanza, dawa za wahenga hazitoki bure. Ukihisi utatapeliwa acha mana sio lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…