Msaada dawa ya jicho

Msaada dawa ya jicho

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Naomba mwenye kujua dawa ya jicho anambie, jicho lilianza kitu km mchangabaadae likaanza kuvimba hlf linatoa machozi tu muda wote.

Nimeenda hospital nimetumia dawa aina 3 . Chloramphenical eye drop, ciprofloxacin eye drop, na gentamicin ambayo nimepewa jana, uvimbe kiasi umepungua ila machozi bado yanatoka tu.

Tafadhali mwenye kujua dawa nyingine anisaidie.
 
Naomba mwenye kujua dawa ya jicho anambie.jicho lilianza kitu km mchangabaadae likaanza kuvimba hlf linatoa machozi tu muda wote.nimeenda hospital nimetumia dawa aina 3 . Chloramphenical eye drop, ciprofloxacin eye drop, na gentamicin ambayo nimepewa jana.uvimbe kiasi umepungua ila machozi bado yanatoka tu.tafadhali mwenye kujua dawa nyingine anisaidie

Dawa ya mwisho umetumia jana na uvimbe umeanza kupungua huoni kuwa umeanza kupata nafuu? ..huoni kama kuna umuhimu wa kurudi tena kwa dr wako kumpa matokeo ya dawa alizokupa?..haya subiri hapa ushauriwe na kila mtu maana hicho ndicho unachotaka!
 
Dawa ya mwisho umetumia jana na uvimbe umeanza kupungua huoni kuwa umeanza kupata nafuu? ..huoni kama kuna umuhimu wa kurudi tena kwa dr wako kumpa matokeo ya dawa alizokupa?..haya subiri hapa ushauriwe na kila mtu maana hicho ndicho unachotaka!
Sawa nimekuelewa.tatizo ni machozi mfululizo mpk sasa ndo mana napata wacwac
 
Mpotezee tu huyo
swala c kumpotezea mtukuna watu humu wanafanya masihara na wakt mtu yupo serious.

we unavyoona kuna mahali nimeandika hapo juu kuwa jicho linatoa usaha? mcpende lawama na watu.na km, mtu unaona huwezi kutoa msaada c unakaa kimya tu kwani lazma uchangie?
 
swala c kumpotezea mtukuna watu humu wanafanya masihara na wakt mtu yupo serious.we unavyoona kuna mahali nimeandika hapo juu kuwa jicho linatoa usaha?mcpende lawama na watu.na km,mtu unaona huwezi kutoa msaada c unakaa kimya tu kwani lazma uchangie?

Ok sawa, lkn nijuavyo huyo dada ni professional wa hiyo fani, jibu la kiungwana ungesema hapana ingetosha tu kuliko kujibu vile. Binafsi sikuona chembe ya busara kwenye jibu lako ndio mana nikasema akuache tu. Hata hivyo sio kesi kila la kheri
 
Ok sawa, lkn nijuavyo huyo dada ni professional wa hiyo fani, jibu la kiungwana ungesema hapana ingetosha tu kuliko kujibu vile. Binafsi sikuona chembe ya busara kwenye jibu lako ndio mana nikasema akuache tu". Hata hivyo sio kesi kila la kheri
poa nimekuelewa.utanisaidia kumpls mana nilijua anafanya utani hapo juu wkt mwenzie nipo serious.
 
Pole pia nawa na salted warm water na mkojo wako ni remedy nzuri la jicho unakojoa unaweka jikoni but mi sijawahi jalibu ya mkojo.
 
Back
Top Bottom