Naomba mwenye kujua dawa ya jicho anambie.jicho lilianza kitu km mchangabaadae likaanza kuvimba hlf linatoa machozi tu muda wote.nimeenda hospital nimetumia dawa aina 3 . Chloramphenical eye drop, ciprofloxacin eye drop, na gentamicin ambayo nimepewa jana.uvimbe kiasi umepungua ila machozi bado yanatoka tu.tafadhali mwenye kujua dawa nyingine anisaidie
Sawa nimekuelewa.tatizo ni machozi mfululizo mpk sasa ndo mana napata wacwacDawa ya mwisho umetumia jana na uvimbe umeanza kupungua huoni kuwa umeanza kupata nafuu? ..huoni kama kuna umuhimu wa kurudi tena kwa dr wako kumpa matokeo ya dawa alizokupa?..haya subiri hapa ushauriwe na kila mtu maana hicho ndicho unachotaka!
wajinga utawajua tuJicho linatoa usaha?
wajinga utawajua tu
ahsante kwa kashafa zako!
swala c kumpotezea mtukuna watu humu wanafanya masihara na wakt mtu yupo serious.Mpotezee tu huyo
swala c kumpotezea mtukuna watu humu wanafanya masihara na wakt mtu yupo serious.we unavyoona kuna mahali nimeandika hapo juu kuwa jicho linatoa usaha?mcpende lawama na watu.na km,mtu unaona huwezi kutoa msaada c unakaa kimya tu kwani lazma uchangie?
poa nimekuelewa.utanisaidia kumpls mana nilijua anafanya utani hapo juu wkt mwenzie nipo serious.Ok sawa, lkn nijuavyo huyo dada ni professional wa hiyo fani, jibu la kiungwana ungesema hapana ingetosha tu kuliko kujibu vile. Binafsi sikuona chembe ya busara kwenye jibu lako ndio mana nikasema akuache tu". Hata hivyo sio kesi kila la kheri
poa nimekuelewa.utanisaidia kumpls mana nilijua anafanya utani hapo juu wkt mwenzie nipo serious.