Msaada: Dawa ya kienyeji ya kukausha vidonda vya moto

liljaco

Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
14
Reaction score
1
ni nini dawa ya kienyej ya kukausha vidonda vya moto? dawa za hospital hazisaidii kidonda bado kibichi ni mwezi sasa
 
Tafuta manyoya ya sungura weka kwenye kidonda ila ni kwa kidonda kibichi.yanasaidia kukausha kidonda kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…