Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 663
Habari za asubuhi waungwana, nina mdogo wangu ana makovu mawili makubwa kwenye miguu yaan kila mguu una kovu, yeye aliwahi kuumia udogoni sasa makovu ni makubwa afu yana nature kama karatasi vile , here i mean they are very delicate coz akijigonga kwenye kitu kigumu basi kidonda kinajitokeza upya. naomba kufahamishwa hospitali zinazotoa huduma ya kufuta makovu na gharama zake zikoje?