Chizy Za kitaa
Senior Member
- Jan 7, 2014
- 167
- 13
Mbona akina dada wana vidonda vya kudumu lakin hawavitafutii dawa
Mbona akina dada wana vidonda vya kudumu lakin hawavitafutii dawa
pole ni kidonda cha wapi? mi siyo doctor na wala sina utaalamu kabisa kwenye sekta hiyo ila mimi nilisumbuliwa na kidonda cha operation nilitumia zinc ya gnld, kwa sasa sijui wanauza ngapi ni linunua hapo imalaseko posta na kiukweli kidonda kilikauka haraka, na ieleweke sijafanya promo ya dawa kwani siyo shabiki wa hizo biashara ila ilinisaidia sana.
NEEDS TO BE EVALUATED AND TREATED BY A QUALFIED MEDICAL DOCTOR.
MBADALA:
KAMA NI SEPTIC WOUND, OSHA na H2O2 ;WEKA IODINE TINCTURE; COVER WITH STERILE COTTON WOOL- KILA SIKU MPAKA KIPONE.
Nenda hospitali. Inaweza kuwa sio kidonda tu cha kawaida. Kilianza vipi?
Kidonda cha upasuaj ndugu!
Mbona akina dada wana vidonda vya kudumu lakin hawavitafutii dawa
Kidonda cha upasuaj ndugu!
Pole sana kwani hosp wanasemaje ulikopasuliwa? ila pia check vitu kana sukari mwilini huchelewesha kidonda kupona. Kwa imani huna ila check tu.
aisee wahi hospitali fasta. Kidonda cha upasuaji cha muda mrefu hivyo hakiponi kwa sababu ya maambukizi kama ulivyoelezwa hapo juu. Kitahitaji kukwanguliwa tissue zilizokufa, kufungwa kwa usafi wa hali ya juu na very strong antibiotics.
Nenda mjini hospitali haraka
Hata mm kinansumbua kdonda cha operation,,kwan we enzi hzo ulinunua sh ngap?
Asante kwa ushaur,,hosptal ipo mjn mm nipo kjjn
Mkuu Chizy Za kitaajaman mm nina kidonda cha zaid ya miez m3.. Naomben mniambie ni dawa gan nitumie ili kidonda changu kiweze kukauka kabisa pamoja na gharama zake?