Msaada : Dawa ya kuondoa kovu mwilini

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2016
Posts
533
Reaction score
739
Natumai wote mu wazima wa afya Jamani nina shida kidogo. Nina mdogo wangu wa kike alipata ajali ya kumwagikiwa na mafuta yaliyokuwa na moto tukampeleka hospital bahati nzuri alipona lakini tatizo ni kuwa baada ya kupona sehemu kubwa ya mwili wake ubebakia makovu maana aliungua sana.

Hivi hakuna dawa yoyote inayoweza kuondoa kovu mwilini maana ukimwangalia hadi anatia huruma au kama hakuna dawa mnishauri tu basi cha kufanya ili kuyapunguza na hata ikiwezekana kuyaondoa kabisa msaada wenu Tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…