Msaada-dawa ya kuondoa mikosi mabalaa

Aidha ukaoge makaburini mchana kweupe ukiwa uchi wa mnyama au ukaogee makaburini peke yako usiku wa giza nene maji ya kutoka baharini yaliyotemwa na gegereka
 
Yamenizidi kimo sina mengi zaidi ya kuomba msaada.
Mara nyingi kitu binadamu tunachoita ''mikosi'' au ''mabalaa'' huwa tunayatengeneza wenyewe! Siyo kama nakataa kuna bahati mbaya mikosi au balaa lakini havipo kwa kiwango tunachosema. Ukijaribu kumchunguza mtu anayelia lia sana kuwa ana balaa au mkosi utakuta life style yake ndio inasabaisha anatokewa na hivi vitu. Mtu kama wewe ukimwelezea mtu hiyo mikosi unayosema anaweza kukuta yote imetokea kwa sababu ya nyendo na matendo yako.
 
Asante,ngoja nijitafakari
 
Hata inayoikabili taifa
 
Madhara ya bangi ndio hayo,pole
Sikia,unajua mda mwingine unaweza kuona una mkosi kwa kila unalofanya.hata mimi hunitokeaga kiasi kwamba najiona sina dhamani.ushauri wangu kwako muombe Mungu atakusaidia.usitafute dawa,dawa ni maombi.acha undezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…