Azoge Ze Blind Baga
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 442
- 1,655
Wakuu salama hapa
Mi kijana wa miaka 34 January 2023 natimiza 35
Nimetokewa na mvi kwenye ndevu ghafla nimeipenda hii hali nahitaji kabisa hizi ndevu zote ziwe nyeupe kabisa na huku kichwani pia.
Sasa hapa najua kuna wataalamu wa masuala ya cosmetics naomba mnitajie dawa nzuri ya kupaka na kufanya hizi ndevu zote na nywele ziwe na mvi jumla hadi nazeeka kabisa.