Msaada: Dawa ya kuongeza mvi

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
442
Reaction score
1,655
Wakuu salama hapa

Mi kijana wa miaka 34 January 2023 natimiza 35

Nimetokewa na mvi kwenye ndevu ghafla nimeipenda hii hali nahitaji kabisa hizi ndevu zote ziwe nyeupe kabisa na huku kichwani pia.

Sasa hapa najua kuna wataalamu wa masuala ya cosmetics naomba mnitajie dawa nzuri ya kupaka na kufanya hizi ndevu zote na nywele ziwe na mvi jumla hadi nazeeka kabisa.
 
Omba Mungu zizidi kuongezeka Anza kutumia bleach pia unaweka rangi inayofanana na mvi
 
Kwa hiyo unataka kuua soo
 
nenda saloon kila wiki nyoa ndevu kwa magic, utanishukuru baadaye.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…