Kama nimekuelewa ni kwamba alipenda awe na ukubwa huo kutokana na kula madawa ya kuongeza size.
Sasa amepewa anaomba tena kupunguza.
Kwa kweli binaadamu hana shukurani kila umpacho anataka chengine.
Mwambie arudi kwa mchina....aliyataka sasa ameyapata!!!