Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

Msaada: Dawa ya kusafisha kioo cha mbele cha gari

Jaribu spirit weka kwenye chupa zile za kuspray halafu unaspray na kufuta hadi king'ae.

Huo ukungu ni wa aina gani na wewe mbona hata picha hatuna. Me sijawahi kuona ukungu usiofutika.
 
Back
Top Bottom