Msaada dawa ya kutibu chunusi, zinanisumbua kwa muda mrefu

Msaada dawa ya kutibu chunusi, zinanisumbua kwa muda mrefu

Atwoki

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
706
Reaction score
383
Wakuu naomba yeyote anayejua dawa ya kuondoa hizi chunus ni ndogo ndogo tangu 2010 zinanisumbua
 
Sabuni ya zoazoa nzuri sana inaondoa vpele
 
Nina sabuni ya kuondoa chunusi na madoa

Kama upo dar nicheki 0714547830
Matokeo ndani ya wiki moja tu..ni tsh 10000
 
Black African Soap, tumia hutajutia. Ni sabuni kutoka Ghana. Just Google it utajua sifa zake. PM kama utahitaji
 
Mkuu tumia kitu cha asili na sio vya kemikali
Pure skin imetengenezwa kwa margafi za asili ukausha mafuta na kutowa chunusi na madowa yake
0653482355
 
Back
Top Bottom