Mkuu ngozi yangu ni kavuNgozi yako ni kavu au ya mafuta?
Tumia mafuta ya palmers cocoa butter lotion made in usa na sabuni ya peary,.after three week leta mrejesho.Mkuu ngozi yangu ni kavu
View attachment 376726View attachment 376727Wakuu naomba yeyote anayejua dawa ya kuondoa hizi chunus ni ndogo ndogo tangu 2010 zinanisumbua
Pure skin ni komesha ya hayo madude