Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na antibiotics.
Naona kipindi hichi imenirudia tena na nmetumia dawa kama awali lakini naona kupona kunaenda taratibu na leo ni siku kama ya 4 tangu vinibane.
Kama kuna mdau/mtaalamu ambaye anafanhamu dawa nzuri zaidi au mbadala nijaribu. Nitashukuru kwa mrejesho wenu.
UmetishaMkuu pole tafuta unga wa manjano iwe mpya alafu tumia vjko 2 vya chai kwenye kikombe cha maji ya vuguvugu na asal mbichi vjko 2 koroga kunywa kutwa mara 2 kwa wiki 1
LearningJitahidi tumia dawa za asili.
Kwa tiba ya haraka, cheza sana kwa karibu na asali + mdalasini hii itakufaa sana, nimepata shuhuda kwa watu kadhaa imewafaa hii tiba.
Pia kuna juice ya kabichi nayo ni tiba nzuri mno.
Nakutakia afya njema.
NotedBadilisha mfumo wa vyakula na vinywaji.... kula sana parachichi na ule kwa wakati
Mkuu pole kwa Maradhi yako ya vidonda vya tumbo usipo pona kwa dawa za hospitali nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona kabisa hivyo vidonda vyako vya tumbo uguwa pole.Habari wakati huu wadau. Nmekua na tatizo la vidonda vya tumbo ambayo hua vinakuja na kuondoka baada ya mda. Mara zote hua natumia dawa ya Omeprazole pamoja na dawa za kutuliza maumivu na antibiotics.