Msaada: Dawa ya kutibu tatizo la vidonda vya tumbo

Badilisha mfumo wa vyakula na vinywaji.... kula sana parachichi na ule kwa wakati
Nadhani uzi uishie hapa. Mfumo wa ulaji ndio unaokuletea matatizo. Kama ulisoma bios kidogo naamini utakua unajua nini kinatokea kabla na baada ya kula kazi za gastric juice na nn kinatokea ikishuka kwenye tumbo kavu. Vinywaji na lishe duni. Kama ukipata mafuta ya kondoo uwe unachanganya kwenye uji itakusaidia. Ukitaka viishe kabisa fuata ushauri wa daktari tumia dawa za awali alafu ukimaliza kuna dawa za miezi 3 ambazo hutibu kabisa lakini ukiwa umezingatia yalioandikwa hapo juu.
Asikudanganye mtu dagaa kula maharage kula mchicha kula ila zingatia unakula kwa wakati gani. Kabla ya gastric juice kushuka weka chakula tumboni ili juice inaposhuka inakuta kitu cha kumeng'enya mbali na hapo utakua unatwanga maji kwenye kinu.
 
Kelele nyingi hazisaidii kizuri chajiuza kabaya za jitembeza maana yangu kama unamwa vindondo ya tumbo kwa mtu yoyote nicheki pm nijue jinsi kukusaidia kama unaumwa upo kimya vitakunyosha vizuri akili ziwakae sawa
 
kunywa maji lita 3 kwa siku, nenda mabara wa angalie ni madonda ya nayo sababishwa na bakteria au la, epuka kula mda ume enda, epuka kula vyakula vyenye gesi na mijuisi,kula milenda kwa wingi.ni hayo tu mkuu ukibadili mfumo wako wa maisha utanishukuru na kuna baadhi ya madonda ya kurithi epuka pia kutumia dawa za maumivu kwa mda mrefu kama diclofenac n.k
 

cielo
 
CharmingLady
 
Nina dawa ya asili. Unapona kabisa kwa gharama nafuu. Kama umeteseka na vidonda nichek PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…