Msaada dawa ya masikio

Yanabadilika

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
34
Reaction score
15
tiba yake ipi kwani kadri siku zinavyozidi kwenda napoteza uwezo wakusikia msaada wanajf
 
Unasiku ngapi unasumbuliwa na tatzo hilo?Nina dawa inayotibu matatzo hayo dawa ni miti shamba lakini iko kwenye fomu ya kimiminika,ni dawa nzurisana inawasaidia watu wengisana,kwa mengi zaidi ntafute kwa,0759217720
 
tumia majani ya bangi pikinya mchuzi weka ndani ya sikio mda mfupi utapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…