Pole sana,nunua ile dawa ya meno ya hawa jamaa wa Forever Living ni imetengenezwa na Alovera wanauza 12,000,mimi imenisaidia sana nina tatizo kama lako,na kuna dawa nyinine ya hebal inauzwa pale msikiti wa mtoro Kko nayo inasaidia iko simple sana unasukutua nayo kama mouth wash ni ya maji inauzwa buku tu.pole sana.