Michirizi ni stimu kwangu na kwa wengine pia nadhani, huwezi amini nikiona mguu hata kama ni mzuri kiasi gani kuvutia kwake kama hauna michirizi ni kidogo sana. Kuna ile myembamba flani hivi nyuma ya goti na kushuka kidogo, yaani!!! We acha tu, utadhani utamu ndo uko pale. Usipoteze hela bure, badili mtazamo wako.