CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Appendex!!!?
Ndio nini,hebu eleza kwa kiswahili ili tujue tunaanzia wap
* Kidole tumboKidonda tumbo.
Kidole tumboKidonda tumbo.
Habari,Habari wataalamu wa Afya,
Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation.
MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE UWEZO WA KUONDOA KABISA TATIZO
JF naamini hapa nitapata msaada .
Natanguliza shukrani wakuu.
NAOMBENI MSAADA WENU.