Msaada dawa ya nguvu za kiume.

Joined
Sep 6, 2014
Posts
9
Reaction score
0
wakuu habarini za muda huu...
Kuna dawa naiskia sana ya nguv za kiume ambayo n mchanganyiko wa asali mdalasin na kitunguu swaumu. Je dawa hii inatumukaje?
 
kasoro asali, vyote vipo kwenye pilau; ukila pilau badala ya kachumbali weka asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…