pirate
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 718
- 703
Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima!
Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa Tatu, lakini baada ya Miezi mitatu Tena tatizo likarudi nikaenda kucheki hospital kwa kufanya X-ray,CT scan na Endoscopy zote zikaonyesha nyma zimerudi na hadi sasa nakuwa na changamota moja kubwa ya kulazimika kutumia dawa kila siku kusudi niweze kupumua kidogo vizuri, na hospital wameniambia lazima nifanye Surgery kwa mara nyingine tena na ni kitu ambacho bado nipo nafikiri kwa mara nyingi zaidi kama nifanye tena or nisifanye kwasabau kutumia dawa kila siku pia sioni kama pia ni wazo zuri, naomba ushauri kwa mtu ambaye ashakuwa na ugonjwa huu akafanya Surgery mara moja azu zaidi zikaacha kabisa au pia kama pia kama kuna Dawa za Asili ambazo pia kuna watu wanasema zipo dawa za Asili ukitumia zinaondoka kabisa.
Natanguliza shukrani!