Msaada Dawa ya Rashes (vipele)

enigma12

Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
18
Reaction score
9
Siku ya jana nimeamka na kukutannina vipele kwenye mapaja na hata sijui vimetokana na nini nimejaribu kuwaza labda ni matokeo ya medisoft repellent lakini nimepaka kwenye mapaja mara mbili tu na ni siku kama tano zimepita.

Vipele vinawasha kweli kweli kwa mtu anayeweza akasuggest dawa anisaidie katika hili.
View attachment 2798612View attachment 2798616
 
Ooh Ni urticaria japo ndo iko kwenye Early stage il cha msingi ni bora kuizuia...
Tafuta Predinisolone Tablets kunywa 10Mg BD kw siku 4 tu then 5mg BD kwa siku 3....

Halafu kama Panawasha sana Tafuta...
Hydrocortisone+Fusidic acid Cream paka mara mbili kwa siku kwa siku 5

Then Acha matumizi ya Mosquitos Repelent sio mazuri au unafanya kazi ya ulinzi?
 
Asante sana Doc,i appreciate your assistance. Nilikuwa porini kidogo nikahitaji repellent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…