Msaada dawa ya tezi au hospital nzuri hapa Dar

okyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
2,003
Reaction score
1,507
Habari za Jumapili wadau

Kwanza kabisa niombe kwa anaemfahamu hospitali nzuri ambayo naweza pata dakatri mzuri wa tezi ya shingoni kwa apa dar es salaam

Nina ndugu yangu ameonekana anadalili za tezi shingoni hivo wajuzi wa haya mambo naombeni msaada either wa dawa nzuri ambayo inaweza ondoa tezi au hospitali nzuri ambayo naweza pata huduma ili kuweza msaidia mgonjwa tezi lisiendelee

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chemsha maji tia chumvi unywe ni tiba nzuri sana na ya haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…