Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'

Pole sana, tunachotakiwa kufahamu wote ni kwamba vjidudu kwenye mwili wa binadamu vinatofautuiana, bakteria au fungus waliopo mdomoni watakua hawana madhara wakibaki mdomoni, lakini wakiingia kwenye ngozi au damu, mfano unapong'atwa wanasababisha ugonjwa,vivyo hivyo vijidudu vilivyopo sehemu za siri vikiingia mdomoni vinasababisha magonjwa. Ushauri nenda hospitali.
 
Pole sana.ulibadili matumizi?hilo sio dekio.kwani huo"mdeki" ulikuwa wapi au shortet kuliko ulimi?
 
Inabidi awe anatembea na ''micrometer screw gauge'' ili apimie hio pH!!!

we ''Men'' should stretch our brains a little bit more.

Anyway!!! Tukutane Katerero mjini nina salam zako Karucee.


Mkuu, pH balance ya vagina ya mwanamke healthy ni
3.5-4.5 ambayo ni slightly acidic.

Sasa kama ndo umefikia kuchibuka hiyo si vagina ni maji ya betri aisee.
 

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ila mie nina miaka 5 nanyonya K na cjawahi kupata janga hilo labda wanawake wa jamaa huyo wachafu kuoga
 
Vijana tuache michezo ya kijinga hy huenda ikawa ni cancer ya koo nenda kapime,maisha matamu jamani!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ila mie nina miaka 5 nanyonya K na cjawahi kupata janga hilo labda wanawake wa jamaa huyo wachafu kuoga

Ni kwakuwa umezingatia vigezo na masharti, sasa wengine mpaka mwenzako anafikia climax na unaona kabisa anapiga bao wee bado umeng'ang'ania kikojozi
 
Kwani uongooo?

Afu kama analia.

Eti 6 months mfululizo.

Hahhahaaaaa kaonja kaona tamu daily jamaa chumvini...nauonea huruma huo ulimi fatique iliyopata kwa miezi sita mfululizo yani siku 180
 
Kunywa maji ya chumvi changanya na limao ndimu pilipili.. Halafu sio kila K ni za kulamba mkuu
 
wewe sio fundi, dudu linatosha kabisa kumridhisha mwenzio as long as umemwandaa vizuri
 
Dah!!! Pole sana mkuu inaonyesha wewe ma goma yako itakuwa ni yale ya road kama sikosei au ndiyo wale wasiojua kujiswafi vizuri.... Maana wenzio tunamuandaaga vizuri kabla ya kwenda huko.... Sio kujikurupukia tu yeyote
 
Hakuna haja ya kuona aibu. Madaktari na manesi wanaona mambo mengi ya ajabu kila siku mpaka wameshazoea. Hawashangai.

Nenda hospitali na mwanamke wako.

Jaribu daktari wa wanawake
 
Unaweza ukakuta unapiga deki na maji machafu sasa unategemea nyumba itakuwa safi
 
Daah Imebidi niishie kucheka kwanza kwa comments za watu. Nenda hospitali bana, Hamna haja ya kuona aibu. Kungekuwa hamna magonjwa hayo basi hata madaktari wasingekuwepo
 
Khe kumbe ndio matokeo yake haya . Ngoja nisifanye maana nilikuwa na mpango huo
 
kansa ya kinywa hiyo. Siyo kila kitu mnawaiga wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…