Msaada: Dawa ya ulimi baada ya 'kudeki bahari'


Hahahahaaa dr.naona upo kazini
 

Haliwezi likawa jibu hli
 
Jaribu kumfuta member yeyote wa forever anaweza kukusaidia kama unaona aibu kwenda hospitali, kuna bidhaa zipo zinaweza kukusaidie. Kama toothgel iko poa but contact na member aliye karibu, sijui uko maeneo gani?
 
Jaribu kumfuta member yeyote wa forever anaweza kukusaidia kama unaona aibu kwenda hospitali, kuna bidhaa zipo zinaweza kukusaidie. Kama toothgel iko poa but contact na member aliye karibu, sijui uko maeneo gani?

ASANTE MKUU KWA USHAURI yoo
 
Ukichelewa utasababisha kansa ya koo ambayo kimsingi ikikupata hutaweza kutibu.

So nenda hospitalini mueleze doctor atakupa dawa utapona.hii ni hiari yako kuchagua kukaa kimya ili ufe baadaye kidogo au uweke wazi ili upone.

Pia usijaribu kutibu kwa njia zisizothibitishwa na Doctor
 
Khe kumbe ndio matokeo yake haya. Ngoja nisifanye maana nilikuwa na mpango huo

ha ha ha,labda ufanye mara moja moja ili kuondoa curiosity,mimi mwenyewe ntarajibu mara moja tu,ila dame lazima aje na vyeti vya WHO kudhibitisha yuko salama,aafu kabla ya kupiga deki nimpeleke carwash kwanza.........
 
miezi 6 mfululizo duh!!!☺☺☺ nenda hospital haraka.
 

staki kuaminii kama ni wewe umeandika haya..teh teh
 
Mkuu mbona kuandika hapa hujaona aibu.....nenda hospital ukamuone daktari na umuelezee vizuri matatizo yako kama ulivoandika hapa..utapata matibabu na kuwa huru...ugua pole
 
VP, umepona!?
A very nice lesson for all who adapt everything from watching porn films,
Kuna wengine wananyonya rectum ....hatari aisee
 
Raha imekuwa karaha...hahaha
 
Piga m.boo mkuu achana na mambo ya deki sijui finger. Ukiikung'uta rungu vizuri wala huna haja ya kudeki.

Kila mmoja anakick yake inayomfanya abadili gia akiwa angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…