Msaada: Dawa ya usingizi jamani

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Week nzima nimekuwa nalala saa 10 asubuhi, na mchana nakuwa fit sina usingizi.
Naombeni mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo langu anipe msaada.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Week nzima nimekuwa nalala saa 10 asubuhi, na mchana nakuwa fit sina usingizi.
Naombeni mwenye kujua ufumbuzi wa tatizo langu anipe msaada.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

Marehemu Remmy Ongala (RIP) aliimba:
"dawa ya usingizi ni mwanamke"
 
Chukua majani ya mstafeli Weka chini ya mto wa kulalia .
pia Jaribu Kula vyakula vya mchemsho kama nyanya chungu na bilingaya
Jaribu Kula ukashiba vizuri.
Also Fanya kazi za kuchosha mwili nadhani utalala mno
 
Also sex is part of treatment of insomnia.
Fanya kwa muda mrefu.
 
Nilikuwa na tatizo kama lako lakini now nipo Shwari mno .
Yaani kukuona kitanda tu me nashtuka morning
 
DO you usually have morning GLORrYYY every day..if yes then punguzaaa..​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…