Msaada dawa ya vidonda vilivyotokana na moto

kokwemage

Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
60
Reaction score
20
Nimeungua moto kama mwezi mmoja uliopita, nimejaribu dawa nyingi za kumeza pamoja na kupaka sijapata matokeo mazuri, naomba kwa mtu anayejua dawa za vidonda sugu aniambie aina na inapatikana wapi
 
ndugu kutokana na ka-knowledge kadogo ka first aid & emergency care, kidonda cha moto au kidonda chochote kile kinapona haraka kutokana na care & cleanliness yako...hakikisha unakisafisha vizuri, obvious kuzuia bacterial infections maana ni chanzo cha prolonged healing, afu sijakuwa aware na prescribed drugs, pills just contact a health professional
 
utakua shabiki wa LFC, una busara sana
 
kwa niaba ya wana JF nakupa pole mwenzetu japo hujatupa chanzo cha kuungua lakini naamini hapa hutakosa ushauri
Nimeungua moto kama mwezi mmoja uliopita, nimejaribu dawa nyingi za kumeza pamoja na kupaka sijapata matokeo mazuri, naomba kwa mtu anayejua dawa za vidonda sugu aniambie aina na inapatikana wapi
 
utakua shabiki wa LFC, una busara sana
rafiki ninavyosikia LFC mashabiki wake wanaanzia 35 yrs of age and above, asa me chini sana hapo siwez shabikia timu ya maveterani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…