Msaada: Dawa ya vipele hivi ni nini?

Copy

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
1,055
Reaction score
1,341
Habari wana JF,
Leo ni siku ya tatu tangu vipele hivi viniote kwapani.

Chanzo:
Shughuli zangu nyingi ni vijijini hùko iringa, siku tano zilizopita nilikuwa huko na mvua zikaanza kunyesha hivyo tukajistiri kwenye hema. Wakati nimetoka nilianza kuhisi kwapa linawasha, siku mbili mbele nikaona vipele vimeota na vinasambaa mwilini haraka mno.

Dalili:
1. Mwili kuwaka moto sehemu yenye vipele.
2. Vipele vinakua na kuweka malenge-lenge.
3. Homa.

Matibabu niliyopata:
1. Amoxicillin
2. Panadol
3. Sk cream (dawa ya allergy)
4. Cetrizine

Matokeo:
Mpaka sasa naona vimeacha kusambaa tu, ila maumivu ni makali mno.
Kwa wenye uelewa wa tatizo hili naomba msaada wa dawa ipi inafaa kumaliza tatizo.
NB: sina taaluma ya uandishi jamani, tuvumiliane tu maana nahisi mwandiko mbovu.
 

Attachments

  • 20190116_065749.jpg
    102.9 KB · Views: 219
Dalili ya ngoma mzee baba
Usijali kapime kama huna umelogwa.. Mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…