Msaada dawa ya visunzua usoni

Msaada dawa ya visunzua usoni

Niliwahi kupata kimoja nilienda hospital waka kichoma na kupaka dawa moja hivi. Sikumbuki jina lake mpaka leo hakijarudia kutokea. Ntaulizia dawa nitakwambia nikipewa jina lake.
 
Wachache huwa wànapona kwa kuchoma na caustic pencil ambazo mdau kazisema
Nenda pharmacy ukinunua(Caustic pencil) paka Vaseline kwenye hicho kisunzua then choma hapo pole pole kwa Mara kwa Mara ukimaliza ukumbuka kukikausha kipencil na tissue!!

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Kina Moto[emoji1]?
 
Mkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo,

Alitokwa na visunzua vingi miguuni alipelekwa hospital kubwa za wilaya, ngoma ikadunda akapelekwa hadi kule Tegeta kwa masister hali ikawa vile vile.

Siku moja tumekaa home akaja rafiki yake Mama alishangaa sana kuona vile vidude vinasumbua na vimechukua muda mrefu kupona wakati dawa yake ni ya kawaida tu.

Amini hiki ninachokwambia, alisema chukueni Mavi ya kuku yaliyokauka yasage yaweunga unga... Kisha kwenye vile visunzua fanya kama unaupaka ule unga kwa kuusugua kwenye visunzua...ndani ya wiki kadhaa tuletee mrejesho.
 
Mkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo,

Alitokwa na visunzua vingi miguuni alipelekwa hospital kubwa za wilaya, ngoma ikadunda akapelekwa hadi kule Tegeta kwa masister hali ikawa vile vile...
Asante sana. Wengi watakupa mrejesho maana ni janga kwa wengi siku hizi. Ila kuku ni wa kufugwa kienyeji au hata broiler na chotara?
 
Back
Top Bottom