huku kwetu
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 146
- 195
Ukipata jibu naomba nistue kwangu imekuwa shida sana.Habari wapendwa, tafadhari anayejua namna ya kuondoa visunzua usoni vile vinyama vinavyoota usoni vyeusi real vinakela Sana, pia ningefurahi endapo ningepata chanzo chake. Shukrani kwenu
wamasai washakula hela yangu balaaSidhani kama kuna dawa ya kuvitoa, mara nyingi vinarithiwa.
Walikukwambia wanadawa[emoji1]wamasai washakula hela yangu balaa
Vinasaidia eh?Jipakae vitunguu swaumu.
Yeah..ila inategemea usitumie Kama una allergy na thomu..Tumia tea tree oilVinasaidia eh?
Inapatikana wapi hiyo tea tree oilYeah..ila inategemea usitumie Kama una allergy na thomu..Tumia tea tree oil
Inapatikana wapi hiyo tea tree oil
Ntashukuru sanaNiliwahi kupata kimoja nilienda hospital waka kichoma na kupaka dawa moja hivi. Sikumbuki jina lake mpaka leo hakijarudia kutokea. Ntaulizia dawa nitakwambia nikipewa jina lake.
Asante ingawa Niko mkoaniKwenye maduka ya dawa za asili kkoo
Kina Moto[emoji1]?Wachache huwa wànapona kwa kuchoma na caustic pencil ambazo mdau kazisema
Nenda pharmacy ukinunua(Caustic pencil) paka Vaseline kwenye hicho kisunzua then choma hapo pole pole kwa Mara kwa Mara ukimaliza ukumbuka kukikausha kipencil na tissue!!
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Acha kabisa washanipigisha mkorogo wa kutosha but wereWalikukwambia wanadawa[emoji1]
Kwa hiyo hujapata soln mpka saizAcha kabisa washanipigisha mkorogo wa kutosha but were
Asante sana. Wengi watakupa mrejesho maana ni janga kwa wengi siku hizi. Ila kuku ni wa kufugwa kienyeji au hata broiler na chotara?Mkuu nakupa dawa moja hivi ambayo alitumiaga kaka yangu kabisa kipindi tupo wadogo,
Alitokwa na visunzua vingi miguuni alipelekwa hospital kubwa za wilaya, ngoma ikadunda akapelekwa hadi kule Tegeta kwa masister hali ikawa vile vile...