Kwa kawaida mimba ikifikisha week 37 mtoto anakua amekamilika kila kitu na mama anatarajiwa kujifungua anytime.
Hata hivyo mama anaweza kukaa hadi week ya 42 bila kusikia uchungu ila ifikapo week ya 42 inabidi uchungu ulazimishwe kitaalamu.
Hivyo ni kawaida mtoto akizaliwa kati ya week ya 37 hadi 42.
Sasa ninaomba kujua kama kuna dawa za asili zinazoweza kuactivate uchungu ili mama asisubiri hadi week ya 42 maana anaumwa sana mgongo na yuko week ya 38.
TAHADHARI TUSITOE USHAURI TUSIO NA UHAKIKA NAO TUKAUA KIUMBE CHA WATU BURE.
KAMA MTU HUJUI NI BORA UKAE KIMYA.
Mkuu tafadhari nakushauri mama asipewe dawa yoyote ya kienyeji kwa ajili ya labour , dawa hizo mara nyingi husababisha fetal distress na kumfanya mama afanyiwe cesarean section mara nyingine husabisha mtoto kuzaliwa akiwa na low score