Duh kama window ni genuine nenda online fanya update ya audio itakuwa sawa. Unaclick pale kwenye software kisha unaupdateHabari zenu wanajamii forum. Nina tatizo la sauti katika dell Inspiron 6000 hili limekuja baada ya kuachana na Window XP na kuanza kutumia Window 7. Nimejaribu kadri ya uwezo wangu imeshindikana. Vilevile naomba kujua wapi naweza kupata BETRI ya DELL INSPIRON 6000 hapa TZ.
Habari zenu wanajamii forum. Nina tatizo la sauti katika dell Inspiron 6000 hili limekuja baada ya kuachana na Window XP na kuanza kutumia Window 7. Nimejaribu kadri ya uwezo wangu imeshindikana. Vilevile naomba kujua wapi naweza kupata BETRI ya DELL INSPIRON 6000 hapa TZ.
jaribu kudowload na kuisntall hili file copy hii link chini kama ilivyo kwenye adress bar
ftp://ftp.dell.com/audio/R99254.EXE
Ikishindikana jaribu huyu
SigmaTel High Definition Audio CODEC - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
Na mwisho jaribu hapa Latest Sigmatel / IDT Modded Drivers for Win 7 and Vista - LaptopVideo2Go Forums
jaribu kudowload na kuisntall hili file copy hii link chini kama ilivyo kwenye adress bar
ftp://ftp.dell.com/audio/R99254.EXE
Ikishindikana jaribu huyu
SigmaTel High Definition Audio CODEC - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com
Nashukuru ndugu yangu hii imenisaidia, mwenzangu kataja VGA sina uhakika kama ipo humu au haipo maana siielewi vizuri.