Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Habari wapendwa! Nimekutana na dell moja hapa ina sehemu ya kuweka simcard lakini nikienda kwa device manager sioni device yenye jina linalohusiana nalo. je inawezekana kuweka simcard na kutumia kama modem na inatambulishwaje?